Saturday, December 27, 2008

MKWARA WA POLIS BWANA!

Jamaa waliimarisha ulinzi wa kristmas na Mwakampya kwa dizaini ya pekee mwaka huu. kikosii maalum kinatumika.
Halafu angani helkopta inazunguka tu kuweka mambo sawa!

1 comment:

Anonymous said...

haya haya wenzangu na miye vyoo "passport size"