Saturday, December 27, 2008

JAMANI KULA KRISMAS KAZI!

Wasafiri wakisubiri kwenda na treni la bara kula krismas, hakuna hata viti stesheni!
Ubungo tiketi zinauzwa kwa ulanguzi, watu wamegombea mabasi kama daladala!

Wengine walikesha vituoni bado kidogo wasimwone bibi krismas!


Ubungo ilikuwa kazi tupu!Watu walikuwa wengi wanatamani kula Krismas kwao, lakini najiuliza ni lazima kusafiri kipindi hiki ama ndio zinakuwa ajali za Desemba?
No comments: