Sunday, December 28, 2008

KUZALIWA KWA YESU

Jamani kuna mtu ananishutumu kuwa nimetuma salamu za mwaka mpya kwa kizungu sasa alitaka iwe y akiswahili, nakubali lakini nilijua hii lugha karibu kila mtu anaijua, ntazirejea kwa kinyakyusa.

Bo Malija asingiligwe nu Josefu, alikuboneka alinikifuba bo bakalinukwegana, Josefu akalele, papo ikifuba kila kikalui kyake, bo ikwinogona pakundeka, ugwa ndumi alimwisile munjosi pakuti, Josefu gwe nnya Ndabiti, ungandekagha malija, kifuba kyake kya mbepomwikemo, isa kupapa umwana umpoki ingamu jo Jesu.

4 comments:

Anonymous said...

sikukulaumu shemeji,nilitoa wazo tu.hata hivyo ninashukuru kwa kuuchukua ushauri japo umeupindisha.
pia tumeona kuwa jina lako nalo limo katika salamu zako.
mMungu akutangulie mwakani upost ishu na nuuuz kila siku ili nasi tuliombali na watanzania kimwili tupate mambo ya tz.
binafsi nakufagilia.

John Mwaipopo said...

Une mpaganile apo basimbile "isa kupapa umwana u-mpoki ingamu jo jesu". Po upapigwe ugwe Mpoki bukuku po na nungwe gwe jesu, Bhule? ndaga fijo utwele injobelo ija kumyitu.

Anonymous said...

Mpoki, ni mara yangu ya kwanza kuandika kwenye blog yako. Ingawa nami ni mNyakyu, sikuwa ninafahamu kuwa nawe ni "Messiah" kihivyo!! hahahahaha. Shukran kwa kunikumbusha lugha yetu baada ya miaka mingi.

Keep up the good job, bro!

Anonymous said...

Mpoki my brother I didn't know kilugha kinapanda. I still doubt umeandika mwenyewe. Sasa Mbu nimemuomba aweke picha ya Kaishozi, wewe naomba Picha ya Mr. Parker kama bado yuko Stockley.