Sunday, December 28, 2008

MTAJI WA MASKINI

Jamani mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe, sasa cheki mshikaji anahangaika na mzigo wa madafu halafu anakutana na mtu ana pesa za kifisadi anataka auziwe moja sh100. Sasa kw amzigo huu akiuz amia atasomesha watoto?

No comments: