Thursday, January 22, 2009

DOGO AULA KWA PINDA
Mtoto George Bush wa Chato ambaye amechukuliwa na familia ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa ajili ya kumlea maisha yake yote mpaka atakapojitegemea! Dogo ameahsanza kutanua na mzee katika ziara! Big Up Mzee Pinda, Upendo wa hali ya juu!

2 comments:

Anonymous said...

Hongera Bwana na Bibi Pinda, mmeonyesha mfano wa kuingwa, hii itasaidia kuisomesha jamii kuwa watu wenye ulemavu wa ngozi ni watu kama watu wengine na viungo vyao havina nguvu za ziada zinazokufanya ufanikiwe bali wanahitaji upendo na mahitahija muhimu ya maisha kama watu wengine wote.

Big Up Pindas.

Anonymous said...

pinda hasira hasara,ni kweli una machungu lkn unaangalia pia cha kusema ukiwa home, na ukiwa ktk kadamnasi hasa kutokana na wadhifa wako .anyway uko sawa kabisa home boy.