Thursday, January 22, 2009

YANGA INATISHA!


Mambo yanakaribia kukamilika katika klabu ya Yanga, mtaa wa Jangwani na hosteli ya wachezaji imewekwa sawa bado uwanja tu! vyumbani mpaka kipupwe kimewekwa!

1 comment:

Anonymous said...

Bwana asante sana kuweka jengo la klabu yetu, wengine tupo mbali na nyumbani walau sasa tunaona jinsi gani jengo lipo kwenye matengenezo. Ukipata nyingine tuwekee mzee.