CCM # 1
Wabongo bwana sasa hivi wanashangaa, Mzee makamba anazunguka nchini kutangaza chama chake baadae wataanza Ooh, wameiba kura, sijui nini. Haya cheki anavyokusanya vichwa usitokee uchaguzi kamopeni za mwishoni ndio tutoe majibu ya kulalamika CCM wezi!
1 comment:
Wewe Sumo inaonesha una kamisheni yako hapo!!
CCM wezi tu... na wewe naanza kupata wasiwasi!!
Post a Comment