Tuesday, February 24, 2009

CUF DEMOKRASIA

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita akisalimia wajumbe wa mkutano mkuu wa CUF unaoendelea jijini Dar es Salaam.
Mzee Butiku nae alikuwepo katika mkutano huo.

Hata wawakilishi wa balozi mbalimbali walihudhuria pia, sasa sijui uchaguzi utakwendaje? Sijui ndio Maprofesa wanachuana na vipi sina Taarifa zaidi maana Profesa safari alitamani cheo cha Profesa Lipumba!

No comments: