Tuesday, February 24, 2009

UZY+USHI
BREKING NEWS

Wale watu waliouwa wakikabisliwa na mashtaka katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu wameonekana leo siku ya kutajwa kwa kesi zao na kuthibitisha kuwa masuala yote yaliyokuwa yakizungumzwa juu yao ni uzushi!
Mtoto wa kihindi, Konal Katakia (21) aliyedaiw akufa Keko ni mzima na amefikishwa tena mahakama hiyo akiwa na mumewe ambaye wameshtakiwa pamoja.
Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa BoT, Amatus Liyumba naye ameonekana mahakamani. Kwa huyu inaonyesha vyombo vya habari vilikuza na hakutoweka kwani hakuhitajika mahakamani kwani siku ya kusikiliza kesi ilikuwa ni leo na amekwenda huko!
Taarifa zaidi na uthibitisho wa picha baadae!!!!!

1 comment:

Anonymous said...

uandishi wako umekaaa ki shushushu sana..punguza siasa bob!