Sunday, February 22, 2009

KIKWETE NA MGENI

Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na mgeni wake Rais wa jamhuri ya Uturuki Abdullah Gul mara baada ya rais huyo kuwasiri katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere jana kwa ziara ya siku mbili.

No comments: