Sunday, February 22, 2009

TAIFA STARS CHAN


Taifa Stars leo usiku inamenyana na Simba wa teranga ya Senegal katika dimba la Felix Houphet Boigny Abijan ikiw amechi ya pili ya michezo wa fainali za Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani(CHAN). Tunawatakia kila la Kheri matokea kesho kwa kuw amuda huo Mzee wa Sumo huwa ameshindilia Konyagi!

No comments: