Sunday, February 22, 2009

KIFO GEREZANI

Yule binti wa kihindi, Komal Katakia(22) aliyeolewa na Vinoth Praven (23) raia wa India anayedaiwa kuua muhindi mwenzie anaelezwa kufia gerezani mwishoni mwa wiki.
Binti huyo amabye alionja lupango baada ya mumewe kudaiwa kumuua Abdulbasiti Abdallah (21) alilazimika kuunganishwa katika mashtaka ya mumewe nae akaenda Keko.
Habari za kifo cha Komal zilianza kuenea jijini hapa kuanzia juzi Ijumaa huku baadhi ya watu wakidai kuwa ameuawa na wengine wakisema kuwa amejinyonga.
Taarifa za awali zinasema kuwa mwili wake umepelekw amuhimbili ukiwa na majereha kadhaa, habari zaidi baadae.

2 comments:

Anonymous said...

Kama walimuachia aende na huo mtandio wake basi ni kweli kajinyonga.
Lakini isiji ikawa wazee wa gereza walitaka kuonja nanihii ya kihindi.

Anonymous said...

kwanza nikusahihishe siyo aliolewa yeye ndiye kaoa na hata katika maamuzi maamuzi ya mke yako juu katika familia za kihindi kwani ndiye aliyemchagua mumewe na kumuoa hivyo lazima alisikia weight ya kesi iko juu yake zaidi na siyo kwa mumewe hivyo kujinyonga. Wasichana wadogo wa India wana tabia ya kujinyonga wakipatwa na tatizo kubwa.