Uchaguzi Mkuu wa Chama cha wananchi (CUF) umekamilika. Wajumbe waliopiga kura ni 669 na washindi katika uchaguzi huo ni kama ifuatavyo:
i. Nafasi ya Katibu Mkuu imebakia kwa Maalim Seif Sharif Hamad aliyepata kura 651 sawa na 99.5%ii.
Nafasi ya Makamo Mwenyekiti imebakia kwa Mhe. Machano Khamis Ali aliyepata kura 644 sawa na 98.6%iii.
Nafasi ya Uwenyekiti imekwenda kwa Profesa Ibrahim Lipumba aliyepata kura 646 sawa na 97.4%.
No comments:
Post a Comment