Thursday, February 26, 2009

STARS CHAN

Henry Joseph akifanya mambo jana usiku.
Nizar Khalfan akimkomalia muivory Coast jana.
Stars sasa imenza kutisha baada yakuweka kandanda safi nakuinyuka Ivory Coast 1-0, sasa tunasubiri Zambia ambao wamekuwa wateja wetu kw amuda mrefu. Tutawamudu Aluta Contuinua!!!!
No comments: