Thursday, February 26, 2009

MAISHA YA MASHAKA

Mi nashindwa kuelewa wabongo tukoje, yaani mtu anakosa sehemu zote za kupumzika analala relini likija treni? baadae utasikia serikali mbovu kumbe mwenyewe fala! Hivi hawajui hili dude haligongi bali linagongwa?

3 comments:

Anonymous said...

this is a priceless picture!! hali halisi ya mtanzania!

Anonymous said...

teh teh! mzee wa sumo always huwa sina comment,ila leo inanibiidi kukili swala la captions wewe mkali sana kwani si za kutengeneza bali huwa unaadika kwa uhalisia mtuupu, na hiyo ndiyo lugha yako...big up bro...Its Me.

Anonymous said...

fala huyo kachoka na maisha. Waya mkali. Yote haya sababu ya kikwete - chukua chako mapema.