Tuesday, February 24, 2009

KORTININi kweli wote wamehudhuria mahakamani na Liyumba kafutiwa dhamana mpaka mahakama ijiridhishe kwani hati zilizowasilishwa zinadaiwa kuwa feki! Habari ndio hiyoo!

3 comments:

Anonymous said...

Dah Kweli Watanzania kutoka katika umaskini itakuwa vigumu sana sana sana, Kila mtu muongo, kuanzia vyanzo vya habari mpaka chini chini kwa wananchi mmoja mmoja, mlituwekea habari za uongo kuwa hawa jamaa wametoroka na makaziita breking NEWS, Ombi kutoka kwenu kama hamna habari kamili msituwekee mpaka muwe na uhakika au ukweli wa mambo, msipo zingatia ukweli basi itakuwa ngumu hata kwa wekezaji kuwekeza nchini

Jaribuni kutupa information za ukweli na siyo kutufanya sisi wasomaji wapumbavu.

Mnatia hasira kwani unakuta mtu umevutiwa na kichwa cha habri halafu kumbe uongo mtupu!,(wizi mtupu!)

Mwambieni hata huyo mnayemwita balozi(ma-blog) wenu ISSA MICHUZI.

Na nyinyi waandishi mnatakiwa mbadilike.

Anonymous said...

Nitaacha kusoma kusikiliza HABARI ZENU HAMNA MAHANA KABISA NYINYI

Anonymous said...

Kwani nani aliyewalazimisha kusoma mzituzingue, kaeni huko msome masinema ya kininja, hata hela ya kununua gazeti hamna. Mpoki endelea kutulea taarifa, hata tetesi ni muhimu, kwani tungejuaje kama zipo? Ndio kazi ya blog