Tuesday, February 24, 2009

MSAADA
Mwakilishi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Mkoani Ruvuma,
Elisha Mlata (kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa matofali yenye
thamani ya shs milioni 10 kwa Katibu Tawala wa mkoa huo Saleh Pamba
yaliyotolewa na Tigo kusaidia ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mkoa
Wilayani ya Namtumbo, Ruvuma.

No comments: