Wednesday, February 25, 2009

MALAZI YA WAZAZI WETU


Wakinamama waliojifungua katika hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam wakiwa wamejipumzisha kabla ya kuruhusiwa! Ninachojiuliza ni kwamba watu wanazaliana kupita kiasi, huduma ni hafifu ama kuna haja ya kupeana zamu za kuzaa ili wake zetu wasilale chini?
4 comments:

Anonymous said...

Mzee wa Sumo umeweka picha nzuri sana inayoeleza mambo mengi. Inaonyesha jinsi gani tunashindwa kuweka vipaumbele vyetu kwenye jamii. Hi hali ipo katika hospitali nyingi tu hapa kwetu hata Muhimbili hali ni hivyo hivyo. Inasikitisha sana, uzazi uahitaji mapumziko sasa hapo starehe iko wapi jamani

Gambo said...

It's funny kwamba umeleta hii picha na story yake. Leo nimesoma gazeti hapa usa linaitwa International Harald Tribune Ambalo linachapichwa na The new york times, haya mzee wa sumo na wadau pata hiyo link hapo chini http://www.iht.com/articles/2009/02/24/africa/hospital.1-436498.php

Gambo said...

http://www.iht.com/articles/2009/02/24/africa/hospital.1-436498.php
inaongelea same story yako mzee wa sumo

Anonymous said...

acha wahangaike,hao ndo ukiwamnbia serikali ya ccm haina vipaumbele hawaelewi,wamnbie uzazi wa mpango,watakucheka. inasikitisha kuwa tuanataka ktumia bilioni 200 kwa vitambulisho,wakati hali ndo zipo hivyo.sio hapo tu,ni akribu tanzania nzima.
shauri yao bwana,shauri wa watanzania wajinga pia.