Saturday, February 28, 2009


Mambo ya Kili Marathon tayari yako safi wanariadha w akutosha wamejiandikisha na kesho ndio mpambano wenyewe. Sijui kama Naali (picha ya juu) kiwango chake kimerejea salama kwani aliwahi kushinda ng'ambo na kila mwaka anatolewa nishai. Tusubirie hapo kesho.

No comments: