Saturday, February 28, 2009

MZEE MKAPA MSIKIVU




Rais wa zamani Benjamin Mkapa akimsikiliza kwa makini Mama wa Taifa, maria Nyerere, halafu mrithi wake, Jakaya Kikwete Ikulu jana wakati wa uzinduzi wa kitabu cha maisha ya Mzee Kawawa na chini akipata habari kutoka kwa waziri Mkuu wa zamani Joseph warioba!!! Hapa sijui fitna gani ilikuwa inapigwa?


2 comments:

Anonymous said...

ukiona mtu ana longo longo nyingi ujue kichwani HAMNAZO....
hivyo usikuvu ni kipimo cha IQ!

Anonymous said...

Sijuiwi unaposema "sijui fitna gani ilikuwa inapigwa?" unamaanisha nini?
je unamaanisha hawa wazee wafitini sana au? wape heshima zao bwana na lugha uliyotumia hapo ni kali sana ibnadili au uwaombe ladhi