Saturday, February 21, 2009

TPDFVijana wapya wa JWTZ walionyesha manjonjo yao baada ya kuhitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika shule ya mafunzo ya awali ya kijeshi ya Makutupora mkoani Dodoma.

3 comments:

Anonymous said...

Jeshi siyo? Ngoja waje Darfur tunawasubiri kwa hamu sana. Lazima mtajaribiwa uwezo wenu na vikuundi kibao vya waasi vilivyopo hapa. Mtapoteza baadhi yenu na wengine mtasave. Tena mnaenda Muhajeria? Wanigeria wamenyanyua mikono nyie mnaenda? Poleni sana. Enewei, kwa kuwa Tanzania haikuwahi pigana vita ngoja tuone uwezo wa majamaa wetu. Darfur ni zaidi ya vita tunadunda tu lakini.

Reggy's said...

Picha hizo zimenikumbusha JKT,kwenye MK, yaani Mafunzo ya Kivita. Hasa siku za kuruka viunzi

Anonymous said...

karne ya 21 unafanya manjonjo kwenye kamba si unatunguliwa mara moja tu