Saturday, February 21, 2009

STARS CHAN


Taifa Stars tayari imewasiri mjini Abidjan kwa jili ya kututoa kimasomaso wabongo na kesho ndio mpambano wakwanza na Senegal katika michuano ya wachezaji wanaocheza nyumbani (CHAN). Hapa Kocha maximo akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mazoezi ya kwanza jana kabla ya mechi hiyo. wachezaji wote wako fit.

1 comment:

Anonymous said...

Tunawatakia heri vijana! Hasa ngasa kama walikubania kwenda Norway sasa hii nafasi ya kufanya mambo uende Old Trafford mwanangu