Friday, February 27, 2009

UPIMAJI WA VVU
Mamia ya wananchi leo wamejitokeza katika upimaji hiari wa virusi vya Ukimwi, uliofanyika katika viwanja vya Vinyago, vilivyopo Mwenge, jirani na baa ya Igongwe na kuendeshwa na wahudumu wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ya Lugalo jijini Dar es Salaam.


No comments: