Friday, February 27, 2009

MSAADA

Mkuu wa uendeshaji wa kampuni ya simu za mkononi Vodacom Peter Correia akimkabidhi Bi Mariam Hamidu aliyelazwa katika hospitali ya Mwananyamala moja ya zawadi zilizotolewa kwa wagonjwa wakati wa kusherehekea siku ya vodacom foundation Day ambapo walikabidhi msada wa Vitanda kwa Hospitali za mkoa wa Dar es Salaam vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 40.
Mkuu wa Uendeshaji wa kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom Peter Correia(katikati) akimkabidhi Mganga mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Suleiman Mutani (kulia) moja ya vitanda vilivyotolewa na Vodacom Foundation vyenye thamani ya shilingi milioni 40 katika kusherehekea siku yao,(kushoto)Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba.

1 comment:

Anonymous said...

Hawa jamaa wanafanya vizuri kwa maisha ya jamii. Nadhani hata makampuni mengine ya simu, au hata ya huduma nyingine hyaige mfano huo.