Thursday, February 26, 2009

US kama Zimbabwe!


Du! E bwana e! Kumbe Marekani na ujanja wao waliwahi kuwa kama Zimbabwe! Nimefuma bonge la noti $100,000 ya amwaka 1934 kwa mdau Miruko. Maelezo soma mwenyewe http://www.rsmiruko.blogspot.com/

2 comments:

Anonymous said...

Hata Uingereza kuna noti ya paundi sterling 1,000,000(millioni moja). ila hii noti hutumiwa na taasisi za fedha pekee, mfano benki kwa benki, yaani noti hiyo haitumiki na raia mitaani.

Anonymous said...

Ahsante mdau kwa kumuelimisha mzee wa sumo. Mheshimiwa not hiyo inatumika only kwa Taasisi au mashirika makubwa wanapofanya transaction zao. Au sometime watu wenye fedha kama ma celebrity hu request hiyo noti kama kupunguza mzigo wa kubeba maburungutu ya fedha. Hiyo noti hutolewa na dept. of tressury kwa maombi maalum sio kwa ajili ya uchumi mbaya. nadhani umenipata!