Tuesday, March 31, 2009

BEATRICE KUZIKWA KESHO

Jeneza la mwili wa marehemu Beatrece Costantine ukiwa ndani ya nyumba yake Kiseke wilayani Ilemela Jijini Mwanza mara baada ya kuwasili kutoka Dar es salaam kwa ndege, mwili huo unatarajiwa kuzikwa kesho alasiri.

No comments: