Tuesday, March 31, 2009

GAVANA AUSTRALIA ACHENGUKA DAR

Gavana wa Australia, Quentin Bryce akitembezwa na Rais kikwete Ikulu, Dar es Salaam leo na baadae akionyesha kufutahia akinamama wa Mkoa wa Dar es Salaam aliowakuta hapo! Dah kweli bongo wakarimu!!!No comments: