Wednesday, March 11, 2009

G5click.com

G5 Social network ni mtandao wa marafiki unaowezesha watu kuchat ,kuchangia mawazo katika mada mbalimbali, kutengeneza marafiki kutoka sehemu mbalimbali pamoja na kupata exclusive look into Maisha Plus kupitia videos, picha na habari ambazo zipo katika mtandao huu.....

Website : www.G5click.com
email : clickg5@gmail.com
Phone : +255-714-204490, +255-713-889878

5 comments:

Mustapha said...

Thanx sana Mpoki...
Kutoka G5 hapa.... Your welcome to join too... http://www.G5click.com

Freddy said...

mzuka sana tu....dah kweli G5 noma mnafanya mambo makubwa kama mbele...
cha kushangaza ni wa bongo pls naomba tuwasiliane namba yangu ni +255714890227

Irene said...

hey jamani.,kusema kweli G5 mnajitahidi endeleeni hivyo hivyo mje kufanya mapinduzi ya ukweli bongo...much respect G5

Anonymous said...

ebana G5click iko juu ile mbaya alifu wangu sema nini endelea kukaza msuli wa kuztosha mwana wa kwetu

JOSEPH said...

unajua nini G5click inakuja kasi ile mbaya imwabamba wengi so mzeiyah kaza msuli vya kutosha