Tuesday, March 10, 2009

KICHAPO KWA ALIYEMPIGA MWINYI

Jamani huyu ndio jamaa aliyewakosea adabu watanzania na waislamu wote kwa ujumla, sijui alifanya hivyo kwa imani ama malezi. Lakini yote tunamwachia Mwenyezi Mungu!!!! zaidi pata nilipobamba picha hii kwa shemeji

2 comments:

G.roy said...

Nadhani umefika wakat wa tanzania
kuwapa marais wa walio staff walinzi kama nchi nyingine...hinakuaje mtu kumfikia kiongozi kama huyo na kumpiga kibao...ni mimi mdau kuotka germany

Nautiakasi said...

...Kwa mujibu wa uislam uzinzi umekatazwa (ni haram) iwe umevaa kondom au hujavaa! Mzee Mwinyi anatumia jukwaa la dini ya kislaam kufundisha watu wazini kwa kutumia kondom, hii ni haramu na amekosea, achilia mbali wanaozini wafe kwa ukimwi, uislam haufuati upepo kwamba sababu mnataka kuzini na mnakufa kwa ukimwi basi uislam uruhusu kuzini kwa kondom. Baya zaidi unaambrisha uovu huo siku ya kuzaliwa yule aliekuja kuukataza uovu huo (Mtume S.A.W). Kwa hiyo Mzee mwinyi alifanya uovu, na kwa mujibu wa Mtume, anasema "ukiona uovu uwondoe kwa mikono yako, au ukemee kwa mdomo au chukia moyoni mwako, ingawa huko kuchukia tu ni imani dhaifu..." Kwa hiyo huyu kijana alomchapa Mzee Mwinyi kibao, machoni mwa wanaadamu ataonekana mtovu wa adabu, muhuni na kila aina ya sifa mbaya, Ila mbele za Allah na waumini wenye kujuwa dini yao, yeye ni shujaa, ni mtu bora na kweli anatafuta radhi za Allah na sio sifa na utukufu wa dunia, kama wengine wanaoacha uislam wao kwa maslahi ya kidunia...!