Tuesday, March 03, 2009

HABARI MPASUKO


Yule shahidi Muhimu wa kesi ya kina Zombe ambaye alisababisha kesi kuahirishwa kutokana na kushuhudia mauaji nakila kitu, Lema anasemekana kufairki dunia Magereza, nasubiri kuthibitisha. Nimesema inadaiwa kwa hiyo wabishi waminye mpaka nitakapothibitisha

No comments: