Tuesday, March 03, 2009

KIFO GEREZANI

HABARI MPASUKO

Yule shahidi Muhimu wa kesi ya kina Zombe ambaye alisababisha kesi kuahirishwa kutokana na kushuhudia mauaji nakila kitu, Lema anasemekana kufairki dunia Magereza, nasubiri kuthibitisha. Nimesema inadaiwa kwa hiyo wabishi waminye mpaka nitakapothibitisha!

1 comment:

Anonymous said...

Siku zote kuumwa na kifo upangwa na mungu. ila kutokana na mazingira yenyewe ya huyu ndugu napata shida sana kuamini kuwa ni ya kawaida.
Isije ikawa umuhimu wa ushaidi wake katika kesi hii umempelekea kupatwa na dhahama hii.
Akipata nafuu mahakama iamie haraka mahabusu ili iweze kumsikiliza najua analo jambo kubwa moyoni mwake.