Saturday, March 07, 2009

KATOTO


Jamani nilisahau kuwataarifu kuwa niliongeza kamodel kwenye family. Isn't She Beutiful, Isn't she Lovely???? Mzee wa Sumo

7 comments:

Anonymous said...

Hongera!
Afya njema na maisha yenye mafanikio kwa mtoto!

Nautiakasi said...

Hongera kaka, Mungu ampe afya njema, maisha marefu yenye raha na amani, yenye kumpendeza mungu, awe na upendo kwa wazazi wake na jamii...!

Anonymous said...

god bless u little angel, aunty G from UK is wishing u afya njema na maisha marefu,uwe mtoto wa kheri na uwapende wazazi wako na jamii.

Reggy's said...

Hongereni sana baba, ijaze dunia

Anonymous said...

she is gorgeous, congratulations!!

PASSION4FASHION.TZ said...

Oh yes,she's lovely,bless her.

John Mwaipopo said...

Jina bado? mlee akuwe katika malezi bora awe responsible kama baba yake.