Saturday, March 07, 2009

MAMBO MAZITO

Mimi nashindw akuelewa hawa wajumbe wa NEC wa CCM, Sitta na Sumaye wanazungumzia nini lakini ni jambo la Muhimu sijui Dowans?

1 comment:

Anonymous said...

Wanazumgumzia Uchaguzi wa 2010 pamoja na mkakati wa kutawala 2015 as President and Prime Minister.