Tuesday, March 24, 2009

KHANGA

Nimegundua wakinamama wa waPwani ni wataalamu wakuvaa khanga, watu wa bara wanavaa zaidi vitenge. masista duu sikuhizi wanadai hata kufunga hawajui!!! Masalaale!

1 comment:

Anonymous said...

hawa kweli wamama wa pwani. usemayo mzee wa sumo ni kweli, wadada hatupendi kanga sana nowdays sijui ndo umagharibi umetuingia.lol