Tuesday, March 24, 2009

MOTO! MOTO!Jamani sasa naona kuna haja ya kuandaa kukabiliana na majanga, Mama wa watu kafika home kakuta nyumba imeungua akazimia!Hoteli Paradise na Oceanic zimeungua Bagamoyo na kuteketea kabisa. Magari yameungua nyumba mahoteli, Ikulu kuliungua kipindi hicho nyumba ya Mkapa. Wizara ya Mambo ya Ndani sijui na nyingien ile ziliungua! Sijui Bongo ikoje?

1 comment:

Anonymous said...

WALIOMLAZA HUYO MAMA WANATAKA AFE NINI? KUMLAZA CHALI ANAWEZA KUSHINDWA KUVUTA HEWA.