Friday, March 20, 2009

KIBOKO

Hapa mimi sisemi, lakini dogo alikutwa Bagamoyo akila mjeredi baada ya mwananchi kukerwa na tabia zake za utoro wa shule! Kwa rate ya elimu Bagamoyo sijui huyu bwana alikuiwa sahihi ama alimwonea mtoto?

No comments: