Friday, March 20, 2009

KUOGA

Nimekumbuka enzi zetu miaka hiyo ilikuwa raha sana lakini maji yalikuwa masafi sio kama haya ya Mto Msimbazi. Sasa mtu akiondoka na nguo ndio ilikuwa soo.

No comments: