Friday, March 20, 2009

PWEZA

Pweza nasikia utamu wake wa ajabu akipikwa nyumbanik hanogi ndio maana kial kona ya jiji kuna muuzaji na watu wanakula bila ya kujali mazingira! Hivi kweli nyumbani hanogi?

No comments: