Friday, March 20, 2009

SABATO MASALIA


Jamaa waumini wa Sabato Masalia bado wanasubiri kwenda ng'ambo kuhubiri neno la Mungu, bila passport wala nauli hii ni kambi yao iliyoko Tabata wanalal akichakani wake kwa waume na hicho ndio choo chao. Kweli mtu akiwa anashusha mambo hawezi kupigwa chabo?

1 comment:

Anonymous said...

Kwa nini wasihubiri pale pale Bongo? Mpaka waende Ulaya?