Wednesday, March 25, 2009

KIFO MCHINA


Wachina waishio nchini wamesononeshwa na kitendso cha serikali kuwakatalia kuandamana kupinga kuuawa kw amzenzao nchini na kumaliz amaombolezo hayo. waliungwa mkono na wafanyabiashara wengine wa bongo na baadhi ya wananchi waliojumuika nao kuwasha mishumaa mbele ya duka la mfanyabiashara,huyo marehemu, Guo Chenwei(25)aliyeuawa wiki iliyopitana majambazi. Kifo chake kimeach amaswali mengi zaidi ya majibu.

No comments: