Wednesday, March 25, 2009

HAKI MILIKI

Jamani wabongo wezi yaani mshikaji amekaa na laptop nasubiri chinga anayeuza CD anatoa sh 500 anakopy miziki na movies! Kweli kwa jinsi hii wasanii wetu watafika?

1 comment:

Matulanya said...

Dah dah! kwa mwendo huo naona wasanii wa bongo wataendelea kweli kugawana umaskini! duh yaani mdau hapo katulia kabisa ananyonya series tu za prison break kama halali kwake.
Yaani bongo tunapenda sana miteremko