Wednesday, March 11, 2009

KURA YA WAUAJI WA ALBINO

Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Ulemavu wa ngozi(TASS), Alfred Kapole, akipiga kura katika kituo cha shule ya msingi Ziwani iliyopo Kirumba Jijini Mwanza ikiwa ni mwanzo wakupigia kura wahalifu wa ujambazi, wauzaji vifaa vya albino na wengineo. Sasa watu wameanza kudai vocha ili wasikupigie kuram, Upo hapooo? Subiri tu matokeo kama watu hawajasema uchaguzi haukuwa 'Huru na Haki'.

No comments: