Tuesday, March 17, 2009

SUALA LA NAULI DAR LIMEKUWA SOOMadereva wa njia ya Mikoroshini- Mwenge wamegoma kufanya kazi kwa siku nzima ya leo na kufanya watu kuunganisha mabasi kama mawili ama matatu! Juu viongozi wa traffic na Sumatra wakikutana nao na chini wakitoa msimamo wao.
Sumatra imetishia kufuta leseni gari zote za njia hiyo na kusajili mpya na madereva na makondakta wamepiga mkwara gari zitakazoingia njia hizo zitapasuliwa matairi. Hapo sasa Utawala bora tunausubiria!!!

No comments: