Tuesday, March 17, 2009

MINTANGA KUENDELEA KUSOTA

Aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Ngumi Tanzania-BFT Shaban Mintanga (kulia) akirudishwa mahabusu baada ya kesi yake kuhairishwa hadi Machi 30 mwaka huu jijini Dar es Salaam. amekaa muda Keko kwa sasa na uongozi mpya wa BFT-umeshachaguliwa.

No comments: