Tuesday, March 17, 2009

USAFI

Pamoja na migogoro ya wenye daladala na Sumatra kuhusu nauli za chini, lakini hata vituo vyetu ni noma. Hebu cheki maji ya kwenye mfereji. Sasa hapa ni Halmashauri ya jiji chafu, ama watu ama nini? Maboresho la City hili yanawezekana kweli?

No comments: