Tuesday, March 17, 2009

DAR KUNG'ARA


Jiji sasa kuanza kung'aa baada ya mamlaka husika kuanza kuweka taa mpajka uswahilini, hapa ni Mtaa wa Shauri Moyo, Ilala. Sasa wakabaji hapa hawana chao, sijui zittakuwa zinawaka na mikwara ya hawa Dowans!!???

No comments: