Friday, April 03, 2009

ADHABU ZA SHUKE

Mambo haya kumbe yako mpaka sasa mi nakumbuka baada ya kuruka kichura mwalimu anakuacha nje kwamza ushike masikio, ole wako ukiachia!!! Cheki deli la asikilimu la mwalimu kwa pembeni!!!

No comments: