Friday, April 03, 2009

KIFO DODOMA


Baadhi ya wakazi wa Dodoma wakishangaa wakati polisi wakiondoka na mwili wa mfanyabiashara maarufu mjini Dodoma mwenye asili ya kiasia, Karim Thawer maarufu kwa jina la Saldina ambaye amekutwa amekufa ofisini kwake mjini Dodoma jana.
Sijui menu aliyopiga ndio ilimuua ama sababu nyingine!!!?

No comments: