Friday, April 03, 2009

KIFO DAR


Jamaa mwingine ati amekutwa amenjinyonga huku amekaa maeneo ya Tabata kisiwani jana, Hawa watu wanajiua ama wanauawa. tatizo la bongo uchunguzi huzinduliwa tu lakini matokeo yanabaki hukohuko!!!

No comments: