Monday, April 27, 2009

CHAKACHAKA AMWAGA CHOZI

Yvonne Chakachaka akibubujikwa na machozi baada ya kutembelea wodi ya watoto katika hospitali ya mkoa wa Mtwara juzi na kupata taarifa ya mama aliyemleat mtoto aliyeugua malaria na baadae kulazwa kabala ya kufa. mama huyo alilazimika kumbeba marehemu mwanane mgongoni na kurudi kijijini kwao kwa kukosa uwezo w akumsafirisha!!!! Ndio mambo ya Bongo. Chakachaka ambaye ni balozi wa maralia alijitolea gari moja ili kusaidia wamama kama hao!
3 comments:

Anonymous said...

Kweli twaweza kusema Tanzania ina vingozi wanao tujari?

Anonymous said...

This is so terrible!! I can't believe this!! Hawa watu wanaojiita mapapa na manyangumi ya ufisadi inabidi wasome hii habari na kuona jinsi watanzania wanavyoteseka huku wao wakiwaibia kila kitu chao.

Anonymous said...

Ndio Tanzania yetu hiyo! lakini mimi huwa najiuliza what in the world does these people called themselves Viongozi do? Hii inasikitisha sana hadi mama wa watu kalia lakini wao aaanh!